Ad
Ad

Top Stories

Pichaz 9 za Diwani Mkubwa Fella alivyoungana na Madiwani wa Temeke kuapishwa leo

on

2015 inakamilika huku tukishudia list kubwa ya wasanii na watu wengine wenye umaarufu mkubwa wakijitosa kuivaa siasa kwa miguu miwili.

Mkurugenzi wa kundi la ‘Mkubwa na Wanae’, Said Hassan maarufu kwa jina la Mkubwa Fella, aliingia kwenye siasa na kugombea nafasi ya Udiwani ambapo kura zikamtosha na akathibiotishwa kushika nafasi hiyo kwa miaka mitano ijayo…. leo ilikuwa ndio siku yenyewe ambapo Mkubwa Fella ameungana na Madiwani wengine kuapishwa katika Ofisi za Halmashauri ya Temeke.

IMG-20151210-WA0001

Mkubwa Fella baada ya kula kiapo cha kuwatumikia wakazi wa Kata ya Kilungule kwa ngazi ya Udiwani, alikuwa na hizi sentensi chache >>>“Kwanza nashukuru Mungu pili Wadau wangu wote wa Kata yetu ya Kilungule, na Tasnia yetu ya sanaa nawashukuru wasanii wote walionisapoti… pia namshukuru sana rafiki yetu wa wasanii Mh Jakaya Kikwete na Rafiki yangu January Makamba“​– Mkubwa Fella.

IMG_2327

Mkubwa Fella na Madiwani wenzake kwa pamoja kwenye kiapo.

IMG-20151210-WA0002

Mkubwa Fella na Madiwani wenzake wa Temeke baada ya kuapishwa.

IMG-20151210-WA0003

IMG-20151210-WA0004

IMG-20151210-WA0005

IMG-20151210-WA0007

IMG-20151210-WA0008

c646cb990613ba326eb0bfe9796c2801

6a6686ee6acdba8f7572f1a85f1ed62b

0dc448346e88198d641e2a63c9f51289

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments