Michezo

VIDEO: Mbwembwe za mchezaji wa Arsenal akiwa barabarani na gari lake Ferrari

on

NI Headlines za mchezaji Aubameyang anaekipiga katika klabu ya Arsenal huko nchini Uingereza, siku za hivi karibu mchezaji huyo ameonekana na gari aina ya Ferrari lenye thamani ya shilingi Paundi Milioni 3 sawa na fedha za kitanzania Bilioni 8.

Nimekusogezea hii video hapa ujionee jinsi alivyoingia nalo barabarani kisha akashuka na kuzungumza na mashabiki

Soma na hizi

Tupia Comments