Habari za Mastaa

French Montana na Fetty Wap wanaisogeza kwetu video ya single yao mpya; ‘Freaky’ – (Video)!

on

French Montana na Fetty Wap wameachia mixtape yao mpya iliyopewa jina Coke Zoo, mixtape inayokuja na nyimbo 13 ndani yake. Miongoni ya wasanii walioshiriki kwenye uandishi na uingizaji wa vocals kwenye nyimbo hizo 13 ni pamoja na Chris Brown, P Diddy, Lil Durk, na Monty.

Single ya kwanza kutoka kwenye mixtape hiyo, “First Time,” ilishatoka tayari na sasa wawili hao wanaisogeza kwetu single ya pili kati ya track 13 zinazopatikana kwenye mixtape yao ya Coke Zoo.

fettyfrench2

Wimbo unaitwa ‘Freaky’ na ndani Monty ameshirikishwa, na kama bado hujafanikiwa kukutana na official music video ya single hiyo basi karibu uicheki video hiyo hapa chini kwa mara ya kwanza.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments