Habari za Mastaa

Fetty Wap kaivujisha hii mpya na anataka ikufikie; ‘In My Ways’ – (Audio).

on

Licha ya kupata ajali ya pikipiki, msanii wa muziki wa HipHop Marekani, Fetty Wap ameona hana sababu ya kuacha kutengeneza muziki na kutupa burudani… wiki iliyopita msanii huyo mwenye hit single yake ya ‘Trap Queen’ aliisogeza kwetu mixtape yake na French Montana iliyopewa jina Coke Zoo, na sasa staa huyo amerudi tena kuziweka headlines kenye kurasa za burudani.

WAAP2

Fetty Wap.

Kama wewe ni shabiki wa muziki wa HipHop na Fetty Wap basi hii good news ikuguse popote ulipo mtu wangu, siku ya Alhamisi wiki hii Fetty Wap ambaye pia ni kiongozi wa kundi lake la muziki la Zoo Gang aliamua aivujishe single yake mpya iliyopewa jina ‘In My Ways’.

Inawezekana single hii imeshagusa masikio yako tayari lakini kama bado hujafanikiwa kukutana nayo basi karibu uisikilize single hiyo kwa mara ya kwanza hapa chini mtu wangu.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments