Habari za Mastaa

Future kuanzisha vita na Ciara? Amshambulia kwenye hizi tweets tano!

on

Imepita mwaka mmoja na nusu toka Ciara na Future wamkaribishe duniani mtoto wao wa kiume ‘babyfuture’ lakini pengine mwaka huu wa 2016 unaweza kuwa mwaka mgumu kwa staa wa muziki wa R&B, Ciara!

fcc

Future & Ciara.

Baada ya ukimya juu ya mvutano unaohusiana na mtoto wao, Future ameonekana kuchoshwa na mambo hayo na hivyo kumwambia Ciara ajiandee kwani visa anavyomuwekea ili kuonana mwanae vimefika mwisho!

fcc2

babyfuture.

Kupitia page yake ya Twitter, Future amefunguka na kuandika tweets hizi tano…

cc1>>> Huyu b**** ana matatizo… <<< @1future.cc2

>>> “ Inabidi nipitie kwa wanasheria ili kumuona babyfuture… ushenzi wa kulipa dolla 15,000 kwa mwezi ” <<< @1future.cc3

>>> “ Namtaka babyfuture hicho tu.” <<< @1future. 

Future anadai amekuwa akijitahidi kutatua issue hizo yeye binafsi lakini uvumilivu umemshinda na hivyo kuamua kuiweka wazi ili watu wote wajue kuwa amechoshwa na visa anavyofanyiwa na Ciara… na pengine kuanzisha vita nyingine!?

cc4

>>> “ Nimekuwa kimya kwa mwaka mmoja & nusu… uvumilivu umenishinda” <<< @1future.

cc5

>>> “ Jiande kwa hii classic…” <<< @1future.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE


Soma na hizi

Tupia Comments