Top Stories

PICHA 8: Rais Magufuli alivyohudhuria ibada ya Majivu leo

on

Leo February 14, 2018  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli wamehudhuria ibada ya Jumatano ya majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na  Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam .

Mama Janeth Magufuli akisalimiana na  Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  na mkewe Mama Janeth Magufuli  wakiagana na  waumini wenzao baada ya ibada .
 
Prsident John Magufuli akisindikizwa  na  Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam na Padri Venance Tegete.
“NAWATAKIA KAZI NJEMA, KAFANYENI KAZI” -RAIS MAGUFULI

Soma na hizi

Tupia Comments