Top Stories

Je wanawake wanahitaji mikopo kuanza biashara zao?

on

Asilimia 15 ya wanawake ni wamiliki wa biashara na wanachangia asilimia 54 ya viwanda vidogovidogo na vya kati. Mtazame Zuena Mohammed (Shilole) akieleza safari yake kama mjasiriamali mwanamke.

TAZAMA SHILOLE ALIVYOWAZINGUA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU UCHEBE

 

Soma na hizi

Tupia Comments