Ni Headlines za Pierre mzee wa liquid ambapo Machi 27, 2019 baada ya kukutana na Ommy Dimpoz pia akapata nafasi ya kuzungumza na mchezaji wa timu ya Tottenham Victoria Wanyama kwa njia ya video call.
Victoria Wanyama imeonekana kuvutia na mbwembwe za Pierre kupitia mazungumzo ya njia ya video call mchezaji huyo alishindwa kujizuia na kumwambia Ommy Dimpoz amfanyia mchakato wa kwenda Uingereza gharama zote zitakuwa juu ya Victoria Wanyama.
Bonyeza play ujionee Pierre akiuliza mara mbili mbili hakuamini