Michezo

Kinda wa kwanza aliefunga hat trick akicheza michuano ya Champion League 2019

on

Ni headlines za mchezaji Erling Braut Haaland mwenye umri wa miaka 19 anaetokea Norway anakipiga klabu ya FC Red Bull Salzburg.

Mchezaji huyo Sept 17, 2019 ameingia kwenye headlines baada ya kufunga hat trick kwenye mchezo dhidi ya timu  anayochezea mtanzania Mbwana Samatta inayofahamika kama KRC Genk.

Ambapo rekodi hiyo imemfanya aingie kwenye orodha ya wachezaji wakubwa ambao waliwahi kufanya hivyo wakiwa na umri mdogo

October 1995- Raul akiwa na miaka 18 na siku 113 dhidi ya Ferencvaros FC

Sept 2004 Wayne Rooney akiwa na miaka 18 na siku 335 dhidi ya Fenerbahce FC

ULIMISS HII YA RAMMY GALIS KUTUONESHA USHAHIDI WANAOPINGA THAMANI YA GARI LAKE LA MILIONI 40 MTAZAME HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments