Habari za Mastaa

PICHA 7:Jackline Wolper mpaka nyumbani kwa wazazi wa Harmonize…..

on

Miongoni mwa stori zinazochukua headlines kwa sasa ni kuhusiana  Mwigizaji Jackline Wolper  yuko mapenzini na mwimbaji wa bongofleva Harmonize ambaye anatokea label ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz, sasa headlines bado zinaendelea kuchukua nafasi ambapo Harmonize kaamua kumpeleka rasmi Wolper kwa wazazi wake huko Mtwara.

Jackline Wolper akuamua kukaa kimya baada ya kupokelewa na kupewa heshima  kama mchumba wa Harmonize ambapo kupitia ukurasa wake wa instagram alipost picha ikonesha akiwa na Mama Harmonize na kuandika..’Iam having the best time of my life.. Nikiwa na Mama yangu Kabla hamjatoka lazima mpige story, akuchekeshe Mjipikilishe Akushauri Hapa nimepata rafiki kwa kweli…I love my mama Mkwe.. Mama Raj’ – Wolper

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

ULIIKOSA HII HARMONIZE ALIVYOMPANDISHA KWENYE STAGE MAMA YAKE NA KUMTAMBULISHA JACKLINE WOLPER ITAZAME HAPA

 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments