Habari za Mastaa

Baada ya Mubenga kuondoka PKP ya Ommy Dimpoz, mipango yake iko hapa

on

Mubenga ni jina ambalo utakua umelisikia pia kwenye nyimbo za mwimbaji staa wa bongofleva Ommy Dimpoz, amekua meneja wa Ommy wa muda sasa lakini maamuzi yake ya karibuni ni kwamba hatofanya tena kazi na Ommy.

Mubenga ameiambia millardayo.com kwamba anaanzisha label yake mwenyewe itayodili pia na muziki wa bongofleva iitwayo Bengaza Entertainment.

Taarifa ni za kweli mimi nimeondoka Pozi kwa Pozi lakini sio kwa ubaya kwasababu ninakwenda kuanzisha kitu changu kutoka kwenye label yangu ambayo tutaanza kutoa kazi rasmi za wasanii’Mubenga

‘Sababu za kujitoa PKP kusema kweli nisingependa kuweka wazi au nisingependa kuweka vitu hadharani ila ni mimi nimeamua kwasasa nifanye vitu vyangu yaani nakwenda kuanza maisha yangu mapya’

Msikilize zaidi Mubenga kwa kubonyeza play hapa chini.

ULIIKOSA HII YA OMMY DIMPOZ ALIVYORUSHWA KICHURA NA WANAJESHI PALE LUGALO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments