Habari za Mastaa

ZARI: “Siji kwa magoti madale”

on

Zari azidi kupost picha kwenye kurasa yake ya instaggram na leo september 30 kapost picha tatu na moja kati ya post alizopost kutia gumzo ni hiyo picha ya kusema kwamba hawezi kwenda kwa magoti madale.

Ulipitwa na hii? Jokate na Baraka Da Prince baada ya kuitazama video ya Hallelujah ya Diamond Platnumz

Soma na hizi

Tupia Comments