AyoTV

VIDEO: Goli lililoipa Tanzania Ubingwa wa CECAFA U-20 dhidi ya Kenya

on

Timu ya taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 maarufu kwa jina la Ngorongoro Heroes, Jumamosi ya October 5 2019 ilicheza mchezo wa fainali wa CECAFA U-20 dhidi ya Kenya, mchezo huo ulimalizika kwa Tanzania kushinda 1-0, kama hukuliona goli la ushindi ndio hili hapa.

VIDEO: Kauli ya Waziri Mwakyembe baada ya kuoneshwa ramani ya ujenzi wa uwanja wa KMC

Soma na hizi

Tupia Comments