Habari za Mastaa

ETI MAPENZI NA KAZI HAVIENDI! Vanessa kajibu ikiwemo ishu ya miwani yake

on

Leo May 30, 2018 kwenye uzinduzi wa Tour ya Vanessa na Jux ambayo watakuwa wakizunguka kwenye baadhi ya mikoa wakitoa burudani kwa mashabiki wao huku Tour hiyo ikitarajiwa kuanza June 30, 2018 katika mkoa wa Mwanza kisha kwenda mikoa mingine na kumalizia Dar es Salaam.

Sasa Kwenye mahojiano na muimbaji VANESSA MDEE amezungumza ikiwa amejibu sehemu ya maswali aliyoulizwa kuhusu kuchanganya Mapenzi na Kazi na kuielezea miwani yake anayoonekana akiivaa huku ikiwa haina vioo..

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza VANESSA MDEE.

JUX KAJIBU: Kufunga mwezi mtukufu ila mbona yupo karibu na Vanessa?

VIDEO:Mimi Mars kuhusu Vanessa kuzidisha mapenzi kwa Jux na kumsahau

Soma na hizi

Tupia Comments