Top Stories

“Vilio vya kudhurumiwa ardhi ni vingi, kuliko kuhesabu Makaburi” Steve Nyerere

on

Tunayo stori kutokea kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Wazalendo Kwanza, Steve Nyerere ambapo amewaongoza wasanii kuingia mikataba ya kupewa viwanja maeneo ya Kigamboni, Dar es Salaam.

Steve Nyerere ambaye pia ni msanii wa maigizo, amefunguka na kusema kuwa waliahidiwa na taasisi mbalimbali kupatiwa viwanja lakini mwisho wa siku hawapati, hali ambayo imekuwa ikiibua vilio kwa wasanii.

Vilio vya ardhi ukiviweka hapa hususani Kigamboni ni vingi kuliko hata kuhesabu makaburi,“amesema.

JIPYA ALILOFANYA ROSE NDAUKA “MCHAWI NI WEWE, HAKUNA KUFELI”

Soma na hizi

Tupia Comments