AyoTV

VIDEO: Moja kati ya magoli ya marehemu Jeba, hili liliwaumiza wana-Simba 2016

on

Hili ndio goli la marehemu Ibrahim Rajab Juma “Jeba” ilikuwa mechi ya nusu fainali Kombe la Mapinduzi 2016 Zanzibar, mchezo huo Mtibwa Sugar iliitoa Simba kwa goli hilo na kutinga hatua ya fainali na kucheza dhidi ya URA ya Uganda game hiyo pia Jeba aliibuka Man Of The Match. 

VIDEO: Rekodi mbili atakazoweka Samatta akicheza na kufunga goli UEFA Champions League

Soma na hizi

Tupia Comments