AyoTV

Isikupite hii game ya Simba SC Legends vs Yanga SC Legends, tambo za Dua Saidi na Lunyamila

on

Inawezekana ukawa ni moja kati ya mashabiki wa soka ambao haujawahi kuwaona au umewakumbuka kuwaona wakina Edibily Lunyamila na Dua Said na wengine wengi wakicheza soka enzi basi game uhondo huo unarudi tena weekend hii.

Yanga Legends na Simba SC Legends watakuwa Lindi Mtwara Jumapili hii ya August 18 2019 kucheza mchezo wao wa kirafiki na kutoa burudani kwa watu wa Lindi ambao hawajawahi kuwaona lakini pia wapo ambao hawajawaona kwa muda mrefu hiyo ikiwa ni siku ya uzinduzi wa Mashujaa FM ya Lindi.

VIDEO: MWALIMU KASHASHA KATOA TATHMINI KWA YANGA HII DHIDI YA TOWNSHIP ROLLERS

Soma na hizi

Tupia Comments