AyoTV

Video: Rose Ndauka kafunguka miaka 30 bila ndoa ‘Niolewe nisiolewe ni sawa’

on

NI Headlines za mwigizaji Rose Ndauka ambae baada ya jana kusheherekea siku yake ya kuzaliwa amekaa na Ayo TV & Millardayo.com na kufunguka kufikisha umri wa miaka 30 bila ndoa.

Itazame hii video hapa ujionee mwigizaji huyo Rose Ndauka akifunguka  kuhusu kufikisha umri wa miaka 30 bila ndoa.

Soma na hizi

Tupia Comments