Top Stories

Zifahamu siri tano za Michoro kwa Binadamu “Tiba ya hasira” (+video)

on

Ikiwa ni Aprili 12, 2019 tunayo kuhusu masuala ya sanaa ya uchoraji ambapo inaelezwa kuwa ina faida na umuhimu katika maisha ya mwanadamu ikiwemo kutumika kama Tiba.

Masoud Kibwana ni mmoja kati ya Wachoraji nchini Tanzania ambapo anasema faida za michoro mtu anaweza kupata ujumbe, pia ikiwa ni muonekano kama kivutio na kumfanya mtu afurahi.

Sanaa inaweza kuwa ni tiba hasa ya kukurudisha katika hali ya kawaida kama umegombana na mtu ama mna ugomvi inaweza kusuluhisha,“amesema.

“CAG NDIO JICHO LA WANANCHI, WAO NDIO WENYE MALI NA RASILIMALI ZA NCHI” CAG MSTAAFU

Soma na hizi

Tupia Comments