Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: MAHAKAMANI: Madabida na wenzie waachiwa na Mahakama na kukamatwa tena
Share
Notification Show More
Latest News
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > MAHAKAMANI: Madabida na wenzie waachiwa na Mahakama na kukamatwa tena
Top Stories

MAHAKAMANI: Madabida na wenzie waachiwa na Mahakama na kukamatwa tena

December 6, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Mwenyekiti wa zamani wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ikiwamo kusambaza dawa bandia za kufubaza virusi vya Ukimwi ‘ ARV’s ‘ na kusababisha hasara ya Sh.Mil 148.

Madabida na wenzake wamefunguliwa kesi hiyo mpya namba 80 ya 2017, baada ya mahakama leo kuwafutia kesi kama hiyo iliyofunguliwa mwaka 2014, ambapo baada ya kesi hiyo kufutwa, Madabida ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa kiwanda hicho na wenzake walikamatwa tena na kufunguliwa kesi mpya ya uhujumu uchumi.

Baada ya kusomewa mashtaka hayo washtakiwa hao hawakurusiwa kujibu chochote kwa sababu mahakama hiyo haina mamlaka hadi Mahakama Kuu. Wakili wa Serikali, Pius Hilla alidai kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika lakini DPP bado hajafanya maamuzi kama kesi hiyo isikilizwe Kisutu ama Mahakama Kuu.

Kutokana na hoja hiyo Wakili Hilla aliomba wapewe muda, ambapo mahakama imeahirisha kesi hiyo hadi December 7, 2017 (kesho) ili upande wa mashtaka ujibu hoja.

Ulipitwa na hii? Waliosababishia hasara ya Sh.milioni 370 kwa TCRA wafikishwa Mahakamani

You Might Also Like

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

TAGGED: habari daily, Mahakamani, TZA HABARI
Millard Ayo December 6, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Shinda na SportPesa: Watu wa Mwanza wanabahati
Next Article MSIBA: Joel Bendera afariki dunia
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
Top Stories August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

August 11, 2022
Top Stories

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?