Usiku wa kuamkia leo Msanii Rich Mavoko amefanya listening party ya Album yake iliyopewa jina la ‘Fundi’ ambapo aliwaalika Watu mbalimbali.
Miongoni waliohudhuria ni Fid Q ambae alikutana na waandishi ambapo alieleza yale yaliyokuwa yakiendelea mitandaoni baina ya Shirikisho na wasanii wanaompinga Steve Nyerere.
Unaweza ukabonyeza play kufahamu yale aliyoyazungumza Fid Q.
NAY WA MITEGO AFUNGUKA SABABU ZA KUJITOA TUZO ZA MUZIKI BONGO, AMTAKA FID Q KUJIUZULU