Ad

Habari za Mastaa

Picha 15: Mastaa walivyokaribishwa bungeni Dodoma leo kabla ya kuidondosha fiesta 2016

on

September 16 2016 historia nyingine itaandikwa ndani ya viwanja vya makao makuu ya nchi Dodoma ambapo burudani ya FIESTA 2016 inatarajia kudondoshwa hapo kutoka kwa wasanii mbalimbali wa bongo.

Asubuhi ya leo baadhi ya wasanii na wafanyakazi wa Clouds media walipata nafasi ya kutembelea bunge ili kujionea utendaji kazi unavyofanyika na hapa nimekuzogezea picha 13 za mastaa hao kuanzia nje hadi ndani.

qqq

2x6a0578

Baadhi ya wafanyakazi wa Clouds media na wasanii wakiwa nje ya bunge

2x6a0590

Wasanii G Nako na Jux wakiwa nje ya bunge

2x6a0591

.

2x6a0637

2x6a0641

Joh Makin

ddd

2x6a0668

Mtangazaji wa XXL B 12 pamoja na wasanii wengine ndani ya bunge

2x6a0683

Kutokea kushoto Chege, Snura, B 12

2x6a0689

.

2x6a0693

2x6a0701

Kutoka kushoto Maua sama, Mr Blue, Adam Mchomvu

2x6a0719

.

2x6a0733

2x6a0741

ULIMIS ADAM MCHOMVU KAULIZA HISTORIA YA MUZIKI WA SINGELI MAN FONGO KAJIBU

Soma na hizi

Tupia Comments