Michezo

FIFA Arab Cup yarejea baada ya miaka 10

on

Michuano ya FIFA Arab Cup inayohusisha mataifa yenye asili ya kiarabu tu yanarejea tena baada ya miaka karibia 10 baada ya kuchezwa mara ya mwisho 2012.

Mwaka huu michuano hiyo inayohusisha nchi zenye asili ya kiarabu tu itachezwa November 30 2021 hadi December 18 2012 nchini Qatar.

Bingwa wa michuano hiyo atapata zawadi ya USD milioni 5 (Tsh Bilioni 11.5) wa pili USD milioni 3 (Tsh Bilioni 6.9), wa tatu USD milioni 2 (Tsh Bilioni 4.6).

WAVAMIZI WAUA TWIGA, SWALA “WACHOMA SHAMBA, MALI ZAIDI MILIONI 60 ZATEKETEA”

Soma na hizi

Tupia Comments