Michezo

FIFA wabadili sheria za Uraia

on

Shirikisho la mpira wa Miguu Duniani (FIFA) leo limetangaza kubadili sheria za mchezaji kucheza timu ya taifa (Uraia).

FIFA sasa imetangaza kuwa kwa mchezaji aliyewahi kuchezea taifa fulani chini ya mechi 3 na umri wake ni chini ya miaka 21 basi ataruhusiwa kuchezea taifa jingine.

Soma na hizi

Tupia Comments