Habari za Mastaa

Escape One palipendeza !! wasanii kwenye stage na game ya PlayStation

on

Usiku wa mkesha wa Pasaka D’Wikend Chat Show ya Clouds Tv ilifanya zile fainali za FIFA 16 Playstation Master Tanzania pande za Escape One Mikocheni, watu walijitokeza katika fainali hizo zilizosindikizwa na burudani ya muziki kutoka kwa  Dogo Janja, Bilnass, M- Rap, Ice BoyCountry Boy na wasanii wengine wengi.

DSC_9386

Red Carpet ilikuwa ikimilikiwa na mrembo Gigy Money

DSC_9394

Mashabiki wakipiga picha na Gigy

DSC_9396

DSC_9435

Gigy akaendelea na jukumu lake la kuhost katika Red Carpet

DSC_9448

Gigy na Godzilla kwenye interview

DSC_9463

Dogo Janja na Gigy wenye interview

DSC_9474

Ikafika time ya Country Boy kufanya interview katika red Carpet

DSC_9487

Warembo wakaendelea kuchukua kumbukumbu zao kwenye Red Carpet

DSC_9497

Godzilla kwenye stage

DSC_9523

Gigy akapanda kwenye stage kumsapoti Godzilla

DSC_9539

Ice Boy

DSC_9553

Bilnass

DSC_9582

Galatoni na dancers wake kwenye stage

DSC_9601

Mashabiki waliojitokeza kuangalia FIFA 16

DSC_9604

Burudani ikiendelea huku watu wakiendelea kushindana kwenye game ya FIFA 16 Playstation

DSC_9612

M-Rap na mrembo kwenye Stage

DSC_9629

Country Boy

DSC_9676

Dogo Janja

DSC_9702

Dogo Janja akitunzwa na shabiki

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andikaAYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments