Michezo

FIFA wametangaza viwango vya soka mwezi huu, Tanzania ilikua namba 126 miezi iliyopita, ya mwezi huu je?

on

Hii ni kwa kila binadamu ambaye damu yake ina chembechembe za mapenzi ya soka la wanaume duniani, list ya viwango vipya vya soka ulimwenguni imetangazwa March 3 2016, FIFA imetangaza viwango hivyo vya FIFA na nchi ya Ubelgiji ambayo anacheza soka la kulipwa mtanzania Mbwana Samatta ipo nafasi ya kwanza ikufuatiwa na Argentina.

12

Kwa upande wa Tanzania ipo nafasi ya 125 ukilinganisha na miezi miwili nyuma ilikuwa 126 huku kwa upande wa nchi za Afrika Mashariki Uganda imeendelea kuongoza kwa kushika nafasi ya 67 , Rwanda ipo nafasi ya 85 na Kenya ipo 103 ambapo kwa Afrika nzima Ivory Coast ndio wanaongoza huku kwenye list ya dunia wakishika nafasi ya 36.

Kutazama list yote BONYEZA HAPA

ILIKUPITA MECHI YA SIMBA ILIPOMPIGA MTU GOLI TANO WEEKEND ILIYOPITA? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

GOLI LA KWANZA LA MBWANA SAMATTA AKIICHEZEA KRC GENK YA UBELGIJI ULILIONA? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments