Habari za Mastaa

Ni zamu ya Mayweather na msafara wake kwenda kukagua Uwanja watakapopigana na Manny Pac.. (PICHAZ)

on

bus
Siku mbili tu zimesalia kabla ya pambano la kimataifa la ngumi kati ya mastaa wawili Manny Pacquiao na Floyd Mayweather ambao watapanda ulingoni na kutegua kitendawili cha nani mkali zaidi.

weeHili pambano ni kama dunia nzima inalisubiri kwa hamu yani.. vyombo vya habari vimelipa promo kubwa kiasi cha kwamba hata ambao hawafuatilii ndondi imebidi wafuatilie hawa jamaa ni akina nani hasa !!

Jana nilikusogezea pichaz zikionesha Manny Pacquiao akiingia zake Las Vegas na msafara kabisa wa pikipiki, basi kubwa na gari nyingine zikimsindikiza.

may2

Leo ni zamu ya Floyd Mayweather ambaye ametumia muda wake kwenda kukagua ukumbi wa MGM Grand ambao utatumika kwa pambano lao.
may4

Ukumbi ulifurika mashabiki.. camera za mapaparazzi nazo hata hazikuwa mbali.

warembo

Pambano hilo linatajwa kuwa pambano la kifahari zaidi duniani na ambalo viingilio vyake ni vikubwa ukilinganisha na mapambano mengine yaliyowahi kufanyika duniani.

wel

weza

Kama ulimis kuona jinsi Manny Pacquiao alivyotua kwa mkwara Las Vegas jana bonyeza hapa >>>> HAPA

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa>>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie

Tupia Comments