Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Bodi ya Filamu Tanzania imeeleza sababu za kufungia baadhi ya filamu
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > VIDEO: Bodi ya Filamu Tanzania imeeleza sababu za kufungia baadhi ya filamu
AyoTV

VIDEO: Bodi ya Filamu Tanzania imeeleza sababu za kufungia baadhi ya filamu

March 20, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Kumekuwa na taarifa za kufungiwa kwa baadhi ya filamu Tanzania kutokana na sababu mbalimbali huku baadhi ya watu wakihoji kuhusiana na kufungiwa kwa baadhi ya filamu hizo.

Joyce Fisoo ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania hapa anaielezea millardayo.com na AyoTV sababu za baadhi ya filamu kutoka Bongo movie kufungiwa.

>>>”Kuna baadhi ya movie zinaletwa hadithi hazina mahusiano na kile kinachowekwa. Kwa mfano, scene nyingi za vitandani, za mapenzi, unakuta hadithi kwa namna yoyote iwayo haijamtaka yule muongozaji kufanya au kuwa na muhusika atakayekuwa kitandani.

“Sisi pale ambapo hadithi itataka uvae nguo fupi tunatambua ujumbe unatakiwa ufike kwa aina ya vazi lakini kama unatuvalia nguo fupi wakati unatuchezea scene ya ofisini ukiwa na nidhamu tutakuuliza” – Joyce Fisoo

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama maelezo yote hapa chini>>>

Video: Maamuzi ya Waziri Nape baada ya taarifa ya kuvamiwa CloudsTV>>>

You Might Also Like

Chege kaweka wazi chanzo cha kupishana na Diamond Platnumz kwa ishu ya Mbosso

Ukali wa DC Jokate alivyoagiza watumishi wa Tanesco kupelekwa rumande ‘Sina huruma’

Dorah ashindwa kujizuia amwaga machozi asimulia magumu aliyopitia kwenye maisha yake

‘Sho Madjozi’ akiwaimbia live watanzania Mama Amina ya Marioo Kidimbwi Beach DSM

VIDEO:Mwanaume anaedaiwa kutoka kimapenzi na shilole kafunguka uhusiano wao

TAGGED: Bongomovie
Admin March 20, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article FULL VIDEO: Maneno ya Sugu baada ya kufika CLOUDS na kamati ya Bunge
Next Article VIDEO: Maneno ya Harmorapa baada ya kufika Clouds Media Group leo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?