Mix

Picha 7 za JK alivyoagwa Ikulu.. Rais JPM ofisini na ziara ya kushtukiza Wizarani..

on

Hizi picha ni mkusanyiko wa matukio makubwa matatu Tanzania leo November 6 2015… Rais John Pombe Magufuli tayari kaanza kazi !!

Naanza na pichaz za Rais Mstaafu JK alivyoagwa Ikulu kwenda Kijijini kwao Msoga, Chalinze.

bye1

Rais JPM akimsindikiza JK huku akiwaaga baadhi ya wafanyakazi wa Ikulu.

bye4

Safari inaendelea nje ya geti la Ikulu kuelekea kwenye Helikopta.

bye8

Hapa ni picha moja ya Rais JPM siku ya kwanza Ofisini kwake, Ikulu Dar es Salaam.

4-IMG_7282

Rais JPM siku ya kwanza Ofisini kwake, Ikulu Dar es Salaam.

Hapa ni picha kwenye ziara yake ya ghafla aliyoifanya Wizara ya Fedha, Posta Dar es Salaam na kukuta baadhi ya wafanyakazi hawapo.

4-IMG_7358

Rais JPM akisaini kitabu cha wageni Wizara ya Fedha Dar.

7-IMG_7447

Hapa ni kwenye Kikao na baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Fedha.

Pichaz zote kutoka >>>> MICHUZI BLOG

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments