Habari za Mastaa

Kutana na maneno ya mchekeshaji Baba Levo baada ya kwenda kwenye hii nyumba ya Diamond na kukuta nakshi za gold bafuni.

on

Diamond houseKama ulipitwa na Fix za Baba Levo ambae huwa anasikika kwenye Ampifaya ya CloudsFM Jumatatu mpaka Ijumaa, moja ya fix zake wiki hii ilikua ni kuhusu nyumba mpya ya Diamond Platnumz ambayo imetengenezwa kwa gharama na kunakshwiwa kwa gold bafuni.

Kupata utani wote wa Baba Levo kuhusu hii nyumba ya Diamond na Wasanii wengine bonyeza play hapa chini mtu wangu.


Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza>>>twitter Insta Facebook

Picha nyingine za nyumba ya Diamond kabla na baada ya kumalizika ndio hizi hapa chini

diamond 2

diamond 3

diamond 4

diamond 5

diamond 6

Soma na hizi

Tupia Comments