Habari za Mastaa

Baba Levo safari hii anasimulia TOP 5 ya sebule za wasanii ambazo hazivutii… #FixZaBabaLEVO

on

have-fun

Baba Levo hakosi story yani.. Kakutana na watu wake wanamuuliza eti nini alichokiona alipoingia kwenye sebule za wasanii mastaa, wenye majina makubwa!

Anasema eti sebule ya Linah inaongoza kwa vitu feki, sebule ya Dogo Aslay inaongoza kuwa na joto kuliko sebule zote..

Baba Levo anasema sebule ya Madee iko kama gereji, spea tyre iko juu ya meza.. Jamaa anasema eti sebule ya Barnaba inaongoza kwa kochi zilizochakaa..

Hizi fix zimesikika AMPLIFAYANI, kama ulipitwa nimekuwekea hapa yote, bonyeza play na ukiisikiliza unaweza kuniandikia comment yako sebule ipi wewe imekufurahisha zaidi.

Utaendelea kumsikia Baba Levo na fix zake kwenye AMPLIFAYA @CloudsFM kila siku mtu wangu..

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza>>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments