Habari za Mastaa

Unaikumbuka hii ya Baba Levo kuhusu mtoto wa Nay Wa Mitego? #FixZaBabaLEVO

on

20150302210606-laughter-laughing-betterPata picha mtu wangu eti wasanii wamekusanyika halafu wanamfuata Nay Wa Mitego na kumbembeleza ili amrudishe mtoto wake kwa mama yake… Unadhani itakuwa rahisi hilo kutokea?

Fix za Baba Levo AMPLIFAYANI ilisikika hii, jamaa anasema eti ombi lake kwa wasanii ndio hilo.. Baba Levo anasema eti Nay anamfundisha mtoto maisha ya kigumu yani, ana miezi mitatu tu lakini kamnyoa upara, anamlisha ugali.

Ilisikika AMPLIFAYANI hiyo, nakuwekea na hapa uenjoy mtu wangu na fix za huyu mtu wetu yani…Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza>>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments