Vituko/ Comedy

Fix za Baba LEVO.. analalamika eti kaomba namba ya msanii wa nje alafu alichopewa ni ishu..

on

have-fun

Baba Levo ameendelea kusikika kwenye #AMPLIFAYA na #Top20 @CloudsFM.. utani wake umeendelea kama kawaida yani.

Msikilize kwa kubonyeza play hapa chini.. ulimsikia kwenye Amplifaya jana alipokutana na washkaji zake?? anawasimulia eti wasanii wanalalamika kwamba AY anabania kuwapa wasanii wengine number za simu za mastaa wakubwa.. msikilize sasa na huu utani wake hapa..

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments