Vituko/ Comedy

Utani wa Baba Levo alipokwenda nyumbani kwa Diamond Platnumz..(+Audio)

on

Msanii na mchekeshaji Baba Levo leo kaja na hii fix kuhusu nyumba ya msanii mwenzake Diamond Platnumz na kukuta vitu mbalimbali vilivyo mshangaza kwakuwa hajawahi vishuhudia sehemu nyingine. Bonyeza Play hapa chini na ufurahie utani wake.

Utani wa Baba Levo akienda guest house na Mwanamke mwizi

Utani wa Baba Levo kuhusu watu wa Kigoma na huduma za ndege

Baba Levo na ushamba wa wasanii kupanda ndege

Baba Levo alipokwenda kwa Mganga kisa show za Marekani

Utani wa Baba Levo kuhusu Manesi wanaotoa siri za wagonjwa

Baba Levo siku alipopanda Fuso na Roma Mkatoliki

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana naMillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments