Top Stories

Rais Magufuli alivyomuapisha Mkuu wa mkoa wa Katavi leo Ikulu

on

Ni Mei 16, 2019 ambapo Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo Ikulu Dar es Salaam amemuapisha Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mh Juma Zuberi Homera.

Hapo awali Mh, Juma Zuberi Homera alikuwa Mkuu wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma.

Soma na hizi

Tupia Comments