AyoTV

UKAWA TENA!! Wasusia Bunge wenzao wapya wa CUF wakiapishwa

on

Jumanne September 5, 2017 Wabunge wa Upinzania Bungeni wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi ‘UKAWA’ waligoma kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati Wabunge 8 wapya wa Viti Maalumu wa CUF wakiapishwa kuchukua nafasi ya Wabunge waliofutwa CUF.

Wabunge hao wamegoma kuapishwa kwa Wabunge hao wapya wakisema kuwa hawakubaliani na hatua hiyo kwa kuwa haijafuata misingi ya kisheria na wanawaunga mkono wenzao waliofukuzwa.

“Sio kila anayepata ujauzito amependa, Rais alitazame upya” – Ester Matiko

Soma na hizi

Tupia Comments