AyoTV

EXCLUSIVE: Video ya kilichonaswa kwenye talaka ya Flora Mbasha na mumewe

on

October 6 2015 waimbaji wa gospel ambao ni wanandoa, Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha walifika Mahakamani kwenye kesi ya madai ya talaka iliyofunguliwa na Flora zaidi ya mwaka mmoja uliopita na maamuzi haya ndio yakatangazwa yote yapo kwenye hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments