AyoTV

VIDEO: Tatizo la foleni Dar limemgusa Mbunge Bonnah Kaluwa, kaamua kuyaongea haya..

on

Bunge la 11 limeendelea Dodoma, May 17 2016 ilikuwa ni zamu ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuwasilisha hotuba yake pamoja na kuomba kupitishiwa bajeti yake ijayo. Kazi iliyofanywa na Waziri  wake Makame Mbarawa.

Katika michango ya bajeti nakukutanisha na Mbunge wa Segerea Bonnah Kaluwa alipopata nafasi ya kuchangia alikuwa na haya..

ULIIKOSA HII UTANI WA MASANJA AKIMPA RAIS MAGUFULI STYLE MPYA YA KUTUMBUA MAJIPU?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments