Floyd Mayweather ni bondia wa kimataifa anayetajwa kuwa mmoja wa mastaa wenye utajiri mkubwa duniani kupitia kazi yake ya ubondia, achilia mbali mataji makubwa aliyonayo, mwaka 2015 katika pambano lake la kihistoria dhidi ya Manny Pacquiao baada ya ushindi alipata dola milioni 100.
Mayweather haishiwi na Headlines, mara nyingi stori zake zinahusiana na utajiri alionao, hapa nimekuwekea picha za magari 15 ya thamani anayoyamiliki Floyd Mayweather na makadirio ya bei zake.
15. Porsche 911 Turbo ($158,200)
14. Mercedes-Benz SLS AMG ($221,580)
13. Mercedes-Benz SLR McLaren ($235,693)
12. Ferrari 458 ($263,553)
11. Rolls-Royce Ghost ($295,850)
10. Bentley Mulsanne ($303,700)
9. Ferrari 599 GTB Fiorano ($310,543)
8. McLaren 650s ($441,000)
7. Lamborghini Murcielago ($510,000)
6. Lamborghini Aventador ($750,000)
5. Bugatti 16.4 Veyron ($1.5 million)
4. Bugatti Veyron Grand Sport Vitesse ($2.2 million)
3. Ferrari Enzo ($3 million)
2. Rolls Royce Phantom Limousine ($3.8 million)
1. Koenigsegg CCXR Trevita ($4.8 million)
ULIKOSA EXCLUSIVE YA JUX KUMZUNGUMZIA EX WAKE JACK CLIFF? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI