AyoTV

Flora Mvungi kayaongea haya tuhuma za kumtukana mtu Instagram….

on

Imepita muda tangu mrembo kutoka bongo movie Flora Mvungi alipofunguliwa mashtaka ya uhalifu wa kimtandao (Cyber crime) ambapo ilionekana kwamba ametumia account yake ya Instagram kumtukana mtu. Aliyetukanwa alifungua mashtaka mahakamani juu ya kesi hiyo.

AyoTV imemtafuta Flora Mvungi ili aongelee juu ya swala hilo na maamuzi ya mahakama kuhusiana na kesi hiyo iliyokuwa gumzo kwa muda

‘Mwanasheria wangu anafuatilia hilo suala lakini kwa ufupi tu naweza kusema kwa sababu ya mashabiki wangu kwamba akaunti siyo yakwangu, ile akaunti nilikua naijua mwanzo ilikua ni ya H-baba, na kuna mtu ambaye alikuwa anahitaji kununua akaunti…ni muda kidogo’

KAMA ULIIMISS HII Q-CHIEF ALIVYOELEZA JINSI ALIVYOACHA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA>>>

Soma na hizi

Tupia Comments