Mix

PICHA 18: Ulipofikia ujenzi wa Flyover Tazara

By

on

April 16 2016 Rais John Pombe Magufuli alifanya uzinduzi wa barabara ya juu ‘Flyover’ Dar es salaam barabara inayotarajiwa kuanza kufanya kazi mwaka 2018, Leo April 23 2017 nimekuweke picha 23 2017 ulipofikia mradi huo.

 

Kushoto ni Barabara ya kuelekea Buguruni, Kulia kuelekea K/Koo

Barabara kuelekea K/Koo

Barabara kuelekea Gongo La Mboto

Barabara kuelekea Gongo La Mboto

 

Barabara kuelekea K/Koo

Mataa Tazara

Ulimiss hii ‘Mimi ni Rais ninayejiamini, siwezi nikapangiwa mtu’-JPM itazame hii video hapa chini…

Soma na hizi

Tupia Comments