Ajali

Ajali ya Ndege ya FlyDubai ilivyoua watu zaidi ya 60

on

Kwenye Vyombo vya habari vya Kimataifa, habari inayomake headline ni kuhusiana na ajali ya Ndege iliyotokea mapema leo. Ndege ya FlyDubai ambayo ilikuwa ikitokea Dubai na watu 62 imeapata ajali wakati ikijaribu kutua uwanja wa ndege katika mji wa Rostov-on-Don nchini Urusi.

Inaripotiwa kuwa abiria wote 55 na wafanyakazi saba wamekufa kwenye ajali hiyo, kwa mujibu wa orodha ya waathirika iliyochapishwa kwenye tovuti ya Serikali inaripotiwa kuwa upepo mkali ulionekana kuwa ndio umesababisha ajali hiyo.

russia-plane-crash

Mabaki ya ndege iliyopata ajali kama inavyoonekana

Unataka kutumiwa za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenyeTwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Uliikosa video ya Ajali ya basi ya Leina Tours iliyoua… dakika 15 kabla ya kushusha abiria? Angalia video hii hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments