Mix

Picha 10 za mwonekano wa Supermodel Flaviana Matata kwenye Magazine mpya ya #NewAfricanWoman

on

NAW31_CoverFlaviannaColor-6

Tunajivunia kuwa na Supermodel wa TZ ambae kazi zake nyingi anazifanyia Marekani kwa sasa, Flaviana…  ninacho kipya kuhusu yeye na kazi yake ya Modeling leo, ishu ya model kuonekana kwenye Magazine kubwa kama New African Woman sio kitu kidogo!!

Moja ya vitu vikubwa ambavyo viko kwenye Magazine hiyo ni kutangaza ishu za fashion na urembo.. Mrembo wetu Flaviana Matata yuko kwenye hili tolea jipya la Magazine hiyo.

Zimenifikia hizi PICHAZ, unaweza kucheki mwonekano wa Flaviana wetu kwenye Magazine hiyo.
NAW31_CoverFlaviannaColor-2

NAW31_CoverFlaviannaColor-5 (1)

NAW31_CoverFlaviannaColor-3

NAW31_CoverFlaviannaColor-7

NAW31_CoverFlaviannaColor-8

 

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments