Habari za Mastaa

AudioMPYA: Nay wa Mitego katuletea hii single mpya ‘Pale kati’

on

Baada ya kutamba  na ‘Shika Adabu yako’ , Staa wa bongoflevani Nay wa Mitego tayari amekusogezea tena mdundo mpya unaitwa ‘Pale Kati’.

ukishamaliza kuisikiliza single hiyo mpya sio mbaya ukituachia na comment yako ili mkali huyo akipita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.

ULIIKOSA HII YA NAY WA MITEGO KUHUSU MZAZI MWENZA KUPATA KIFUNGO CHA NJE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments