Mali za Mastaa

PICHA 6: Floyd Mayweather kaongeza ndege ya pili yenye vifaa vya Dhahabu

on

Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather ameingia tena kwenye headlines kwa kuongeza ndege binafsi ya pili aina ya Gulf Stream III kwa madai kuwa moja haimtoshi katika matumizi yake binafsi na amesema ameichoka.

Ndege hii yenye vifaa vilivyotengenezwa kwa Dhahabu sehemu ya ndani yenye uwezo wa kubeba abiria 12 na ina vifaa vya dhahabu sehemu tofautitofauti kama sehemu  za kuwekekea glasi, sinki la kunawia mikono lililopo kwenye jiko la ndege hiyo na mapambo mengine ya dhahabu ambayo yamepamba ndani ya ndege hiyo.

Billionea huyo hakuwa tayari kutaja bei kamili ya ndege hiyo aliyoinunua lakini alisikika akisema haya….>>>> ni kitu kizuri kuwa na pesa

flo

floyd

floydz

fo

fooool

fff

ULIKOSA KUONA VIDEO YA MADINI YANAYOTAFUTWA KWA WINGI DUNIANI? ICHEKI VIDEO HII HAPA CHINI…..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments