Top Stories

MAVUNDE KAZITUMIA MILION 9 SIKU YA WAPENDANAO “WANAICHUKULIA TOFAUTI SANA”

on

February 14, 2019 Mbunge wa Dodoma mjini ambaye pia ni Naibu Waziri ofisi ya Waziri mkuu anayeshugulikia Kazi, Ajira na Vijana Anthony Mavunde amesherekea siku yake ya wapendanayo kwa kutoa msaada mifuko ya vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito, mashuka pamoja na dawa za uchungu katika baadhi ya vituo vya afya Dodoma vyenye thamani ya zaidi ya Milion tisa lengo likiwa ni kusaidia jamii yenye mahitaji maalum jimboni kwake.

Makamu wa Rais, Samia Suluhu alivyoguswa na msiba wa Godzilla

Soma na hizi

Tupia Comments