Habari za Mastaa

Beyonce vs Kim Kardashian kwenye ushindani wa Followers @Instagram

on

bey

Mitandao ya kijamii imeedelea kushika kasi zaidi kutokana na matumizi ya watumiaji kwenye mitandao hiyo kuzidi kuongezeka kila siku.

Mastaa wa kimataifa Beyonce na Kim Kardashian wameingia kwenye headlines baada ya kuzidiana followers ambapo baada ya Beyonce kuongoza kwa muda mrefu sasa ni zamu ya Kim.

Kim Kardashian sasa amekua staa anayeongoza kwa kuwa na follewers wengi kwenye mtandao wa @Instagram baada ya kufikisha milioni 44.1 na kumpiku Beyonce mwenye followers milioni 44.

List  mpya ya mastaa 10 ni hii hapa na idadi ya followes…

  1. Kim Kardashian — 44,005,604
  2. Beyoncé — 43,935,648
  3. Taylor Swift — 43,533,226
  4. Selena Gomez — 41,843,095
  5. Ariana Grande — 41,696,873
  6. Justin Bieber — 36,994,254
  7. Kendall Jenner — 35,388,483
  8. Kylie Jenner — 33,703,166
  9. Nicki Minaj — 32,278,123
  10. Khloé Kardashian — 30,522,261

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments