Habari za Mastaa

VIDEO: Elizabeth ‘Lulu’ afunguka sababu za kuuza nguo zake

on

Ni Mwigizaji, Elizabeth Michael aka Lulu ambae Jan 26, 2019 alikutana na waandishi wa habari kwenye duka ambalo alikuwa akifanyia mauzo ya nguo zake.unaweza ukaitazama hii video ujionee akijibu maswali aliyoulizwa.

ULIIKOSA HII YA PIERE KAFUNGUKA MICHONGO MIPYA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments