Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Forbes wamtangaza Melinda alieachana na Bill Gate kuwa Bilionea mpya, ashika namba hii
Share
Notification Show More
Latest News
TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
February 2, 2023
Mason Greenwood afutiwa mashtaka
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Forbes wamtangaza Melinda alieachana na Bill Gate kuwa Bilionea mpya, ashika namba hii
Top Stories

Forbes wamtangaza Melinda alieachana na Bill Gate kuwa Bilionea mpya, ashika namba hii

May 6, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

NI  Stori iliyowagusa wengi huku wengine wakijiuliza maswali bila kuwa na majibu baada ya ndoa ya tajiri wa Dunia Bill Gates na Belinda iliyodumu kwa miaka 27 kisha kufanikiwa kupata Watoto watatu kutangazwa kufika mwisho yaani wameachana.

Sasa leo May 6, 2021 kupitia mtandao wa jarida la Forbes wamemtangaza mwana Mama huyo anaefahamika kwa jina la Melinda kuwa ni Bilionea Mpya anaeshika nafasi ya 5 kwenye orodha ya Matajiri Duniani baada ya kuhamishiwa fedha kwenye akaunti yake kutoka kwenye kampuni ya Bill Gates kama mnufaika wa hisa za uwekezaji wa kampuni zake.

.

Forbes wanasema Melinda kwasasa ana Tajiri wa bilion 1.8 za kimarekani hii imekuja baada ya kuwa mnufaikaji wa hisa za uwezekaji wa kampuni ya Bill Gates.Kwa mujibu wa Forbes wanasema utajiri wa Bill Gates umeshuka toka ($130.4 Bilion) hadi ($128.6 Bilion) baada ya Melinda kuhamishiwa fedha hizo lakini bado inamuweka Bill akiwa kwenye nafasi ya 4 ya orodha ya Matajiri wa Duniani huku Melinda akiwa katika nafasi ya 5 ya orodha hiyo ya Matajiri Duniani.

.

Chanzo Forbes ( https://www.forbes.com/?sh=6f16d7a42254

……….

H BABA KAONGEA YA MOYONI “HARMONIZE KANIRUDISHA KWENYE MUZIKI, UONGO WANAPOTOSHA JAMII”

You Might Also Like

TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao

Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe

Bilioni 3.2 zatolewa kwa Wajasiriamali 16 wa Nishati safi ya kupikia

Maombi maalum Sudan Papa Francis afike salama

Gharama ya kupunguza uzito kwa puto, madhara yake?, Msechu Kilo 7 zimepungua

TAGGED: duniani
Edwin TZA May 6, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article BAVICHA waingilia kati sakata la Ney wa Mitego na BASATA
Next Article Jinsi bodaboda walivyomwaga vyakula na pombe msibani wakidai marehemu hakuwa anapewa chakula
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
Top Stories February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao

February 3, 2023
Top Stories

Bilioni 3.2 zatolewa kwa Wajasiriamali 16 wa Nishati safi ya kupikia

February 2, 2023
Top Stories

Maombi maalum Sudan Papa Francis afike salama

February 2, 2023
Top Stories

Gharama ya kupunguza uzito kwa puto, madhara yake?, Msechu Kilo 7 zimepungua

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?