Habari za Mastaa

Forbes na list yao mpya!!..hawa ndio warembo wa kike kwenye muziki duniani wenye fedha nyingi

on

Mtandao wa Forbes umetoa list mpya ya mastaa wa kike duniani ambao wanatengeneza pesa nyingi zaidi kupitia kazi yao ya muziki.

Katy Perry ameongoza list hiyo kutoka nafasi ya tano aliyoishika mwaka jana baada ya kuingiza kiasi cha dola milioni 135 ambazo nyingi zimetokana na ziara yake ya  ‘Prismatic World Tour‘, aliyokuwa akiingiza kiasi cha dola milioni 2 kwa usiku mmoja.

Katika orodha hiyo Forbes wameeleza kuwa utajiri wa mastaa hao ni ule wa kuanzia June 2014 mpaka June 2015.

katy

1. Katy Perry (dola 135 million)… 

 

tay

2.Taylor Swift (dola 80 million)…

 

flee

3. Fleetwood Mac (dola 59.5 million)…

 

gaga

4. Lady Gaga (dola 59 million)...

 

bey

5. Beyoncé Knowles (dola 54.5 million)…

 

bri

6. Britney Spears (dola 31 million)…

 

jlo

7. Jennifer Lopez (dola 28.5 million)…

 

mira

8. Miranda Lambert (dola 28.5 million)…

 

mari

9. Mariah Carey (dola 27 million)…

 

riri

10. Rihanna (dola 26 million)…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments